EPL: Kuendelea na Ratiba Yake

EPL, ligi kuu ya Uingereza kuendelea na ratiba yake kama kawaida licha ya mlipuko wa ugonjwa korona kusababisha michezo kadhaa kuahirisha, lakini leo vilabu 20 vimekaa kikao na kupitisha azimio moja la kuendelea na ligi kama kawaida.

ilitarajiwa huenda michezo ya itakayochezwa baada ya Christmas itahairishwa, lakini hakuna kula iliyopigwa ya kuweza kuhairisha michezo hiyo sasa michezo ya wiki ya 20 itakayoanza 28 disemba ingehirishwa ili kupunguza presha lakini vilabu vimekubaliana kama wachezaji 13 wako sawa akiwemo kipa mchezo uchezwe.

EPL
EPL

pia kuna mazunguzo kati ya vilabu na mamlaka kuiondoa michezo ya FA Cup ya mzunguko wa tatu na nne na kuipunguza michezo ya nusu fainili ya EFL Cup {Carabao cup} kuchezwa mchezo mmoja tu na sio michezo miwili kama ilivyo kawaida.

EPL,michezo mitano kati ya sita siku ya jumamosi ilhairishwa , chelsea waliomba nao mchezo wao wa jumapili dhidi ya wplves uhailishwe mamlaka walikataa, pia liverpool walikuwa miongoni mwa timu zilizotaka michezo ya wiki 20 kuahirishwa.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.