Joao Cancelo Kulamba Dili Nono Man City.

Hakika, juhudi zinaweza kukupa mchongo. Joao Cancelo ni mfano tosha katika hili. Juhudi zake zinamfungulia milango mikubwa pale Etihad.

Cancelo amekuwa kwenye kiwango bora msimu huu ndani ya kikosi cha Pep Guardiola. Akicheza kama beki wa kulia, huwezi kusema Cancelo ni beki hasa, mchango wake kwenye mashambulizi na mfumo wa uchezaji wa Man City, ni mkubwa kadiri siku zinavyozidi kwenda.

Joao Cancelo

Japokuwa Joao Cancelo bado anamkataba na City mpaka 2025, imeripotiwa klabu hiyo ipo mbioni kuboresha zaidi mkataba wake ikiwa ni pamoja na kumuongezea mshahara wa takribani £100,000.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe