Richard Arnold Kumrithi Ed Woodward Man Utd

Richard Arnold anajiandaa kuchukua nafasi ya Ed Woodward kwenye klabu ya Manchester United  ambaye alitangaza kuachia ngazi baada ya mpango wa Super League kushindikana ambapo yeye nae alikuwa miongoni mwa watu walioshiriki.

Nafasi ya Ed Woodward sasa imepata mtu wa kuiziba japo Richard ataanza na nafasi ya “CEO” kwenye viunga vya Old Trafford na kuwa mtu wa kwanza kushika nyadhifa hiyo tokea David Gill mwaka 2013 kuishika wadhifa huo, wakati Ed Woodward kwa sasa anashika nafasi ya makamu mwenyekiti.

Richard

Richard awali alishafanya kazi kama mkurugenzi kwenye makampuni kama InterVoice, Nasdaq kabla ya kufanya kazi  kama mkurugenzi wa biashara kwenye klabu ya Man Utd, pia alipandishwa cheo na kuwa “Group Managing Director” mwaka 2013.

Woodward  anaondoka Man Utd kwa sababu hakuweza kufanikiwa ndani ya uwanja japo aliweza kufanya usajiri wa pesa nyingi kwenye kikosi cha United kama Paul Pogba, Romelu Lukaku na Angel di Maria, Richard anakwenda kurithi kiti cha mtu ambaye waliweza kufanya kazi bega kwa bega kwa kipindi chote kwenye viunga vya Carrington Complex


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.