FA Cup: Punguzo la Asilimia 50% kwa Mabingwa.


 

Katika mashindano ya FA Cup ya msimu huu kutakuwa na mabadiliko kutokana na janga la virusi vya Corona [Covid-19], katika mashindano ambayo yanayotarajiwa kukamilika May 15, 2021 pale Wembley.

Imetanganzwa kuwa kutakuwa na mchezo mmoja bila marudio katika mechi zote pia kutakuwa na punguzo la asilimia 50% kwa washindi.

 

Kutokuwepo kwa mashabiki uwanjani katika sehemu kubwa ya kampeni za kivumbi hicho kunamaanisha kwamba waandalizi wamefungiwa njia nyinginezo za fedha ambazo zingetolewa kwa washindi.

Mabingwa wa Kombe la FA Cup msimu huu wa 2020-21 watatia mfukoni £1.8m pekee, hii ikiwa nusu ya kiasi cha fedha [£3.6m] kilichotolewa kwa Arsenal waliotawazwa mabingwa wa taji hilo msimu uliopita wa 2019-20.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

21 Komentara

    Inabidi wakubali kwa sababu hili gojwa limekuwa tishiyo na kurudisha maendeleo nyuma

    Jibu

    Corona inashusha uchumi duniani

    Jibu

    Corona imeshusha Hali ya kiuchumi dunia nzima

    Jibu

    Duuh sio poa

    Jibu

    Kweli Mambo magumu

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Corona inarudisha nyuma uchumi

    Jibu

    Da sio poa

    Jibu

    Hapa timu kubwa hazitoona haja ya kuwatumia wachezaji wao katika kusaka ubingwa, Safari hii atachukua mtoto

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Inabidi wachezaji wakubaliane na hali hii ya sasa wanatakiwa kuwa tayari kwa kila kitu

    Jibu

    mmh

    Jibu

    Duu mbona hatari

    Jibu

    Duuh corona imeharibu kila kitu

    Jibu

    Dah jamanii

    Jibu

    Dhuuuu

    Jibu

    Jambo jema sana

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

    Mmmhhh atali

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Mmmh majanga

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.