Kinda wa Arsenal, Gabrielli Martinelli amepata Majeraha ya Kifundo cha mguu [Ankle Injury] wakati akiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa FA dhidi ya Newcastle na kusabisha kukosa mchezo huo.
Martinelli alikuwa amepangwa kuanza katika kikosi cha kwanza katika mchezo wa raundi ya tatu dhidi ya Newcastle siku ya jana, lakini alipata majeraha hayo wakati akipasha [warm up] kabla ya mchezo.

“Nilitoka jasho, Nilikuwa ofisini kwangu kabla ya mchezo na mmoja wa madaktari alikuja na kuniambia amepata majeraha katika kifundo cha mguu.
“Alikuwa analia na maumivu makali. Nafikiri itakuwa habari mbaya lakini tusubiri tuone nini kinaendelea.” alisema Arteta.
Arteta alimteua Reiss Nelson kuanza katika nafasi hiyo baada ya klabu kudhibitisha Martinelli amepata majeraha katika kifundo cha mguu na atafanyiwa vipimo ndani ya masaa 24.

Magoli ya Smith Rowe na Aubameyang, dakika ya 109′ na 117′ mtawalia yaliiwezesha kupata ushindi wa 2-0 katika uwanja wa Emirates.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Sania
Pole sana Gabrielli
Adelta
Martinell pole Sana
Sarah
Pole yake
Lydia Emmanuel Magoti
Pole yake
Caroline
Pole Sana
Fatuma kasomo
Pole
Angelina
Pole yake
Ernest Kimeru
Habari mbaya kwa Arsenal
Mwanahamisi
Pole sana
Dorophina
Pole yake martinelli
lombo
hatar
Neema juma
Polee yake
aisha
Pole sana
Hopemwaikuka
Sorry for you
Saupha mohamed
Pole sana
Latifa juma mohamed
Pole sana
Magdalena
Pole sana martinell ndo mchezo huo
warda
Pole yake kifundo cha mguu kinauma sana
Rahmal
Pole sana
Gabriel
Gabrielli Martinel amekuwa na misimu mibaya kwaajili ya majeraha