Kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandez amefichua kuwa Edinson Cavani alimwambia mahali pa kupiga ule mkwaju wa faulo dhidi ya Liverpool.

Bruno Fernandez ameweka wazi kuwa mchezaji mwenzake wa Manchester United, Edinson Cavani alimwambia wapi aelekeze mpira wake wa adhabu katika ushindi wao wa Kombe la FA dhidi ya wapinzani wao Liverpool.
Mabao ya mapema ya Mason Greenwood na Marcus Rashford yalitosha kwa kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kuwatoa mabingwa wa Ligi Kuu, Liverpool ambao hawana ushindi katika mechi zao tatu zilizopita.
Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!



warda
Basi cavani nae anastahili sifa
Rahmal
Habari njema
Adelta
Cavani Yuko vizuri
Ernest Kimeru
Hatupumui mtaani, Ngoja tuuu
Venerose
Mambo ni 🔥🔥🔥
Sania
Cavani yuko poa
Magdalena
Kazi nzuri Fernandez alifanya
Sarah
Yuko poa Cavani
Dorophina
Cavani kijana smart sana uwanjani
Mwanahamisi
Cavani Yuko sahihi
Hopemwaikuka
Katishaaa sana
Angelina
Cavan yuko vizur
Lydia Emmanuel Magoti
Amewanyanyua Man U juu juuu akuna kuferi Man U
Saupha mohamed
Dhuuu
Issa
Bruno hatari