Shirikisho la Soka nchini Uingereza FA linachunguza ripoti kutoka nchini Iceland zinazowahusisha wachezaji Phil Foden na Mason Greenwood, baada ya kuvunja sheria za UEFA kuhusu ugonjwa wa Covid-19 katika hotelini Reykjavik.
Wachezaji wote walikuwepo katika mchezo wa Uingereza walioshinda 1-0 dhidi ya Iceland siku mbili zilizopita. Taarifa za ndani zinasema wachezaji hao walihusishwa na kuingiza wanawake katika hoteli waliyofikia.

Foden na Greenwood wamekosekana katika mazoezi ya leo asubuhi na inahofiwa wanaweza kuukosa mchezo wa UEFA Nations dhidi ya Denmark.
Wachezaji hao ni wachezaji pekee waliokosa mazoezi hayo ya mwisho yaliyofanyika katika uwanja wa Laugardalsvollur mjini Reykjavik kabla ya mchezo wa kesho.

Kieran Trippier na Danny Ings wote wako fiti kwaajili ya mchezo huo japo walipata maumivu ya vichwa baada ya kugongana katika mazoezi.
Foden na Greenwood wakiwa katika hatihati ya kukosekana, Kocha Southgate ana kikosi cha wachezaji 22 amabao anaweza kuwachagua katika mchezo utakaopigwa pale Copenhagen.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Povel
Sheria ifuate mkondo wake hapo
Theckla
Kwa nini hawapendi kufata maelekezo
Mwajumah
Sheria itafata mkondo wake apo#Meridianbettz
felister
tatizo hao nao wanajisahau sana
Tatu
Watu washachoka na huu ugonjwa sheria zao wanaona kama adhabu
jullie
sheria ni msumeno
Lydia Emmanuel Magoti
Kwanini awafati Sheri ukiwa kwenye Kaz lazima ufate maelekezo ya wakubwa wakikosi nakutii Sheria zao
Hope mwaikuka
Waadhibiwe kwa utovu wa kutotii sheria
Issa
Wapate adhabu kwa utovu wa nidham iwe fundisho
Furahav
Majanga.
Salma ngende
Sheria ifate mkondo
aisha
Jamani fuateni shelia tuu ili mambo yakae sawa
aisha
Kama wamevunja shelia makusudi basi wapate adhabu
Sadick
vijana hawajazingatia social distancing kwa kuingiza totozi, lazima wakutane na wembe wa adhabu#meridianbettz
Khadija
Jamani vijana wana mambo mengi sasa itakuwaje hatma yao#meridianbettz
Amiri Kayera
Duh ujana unawasumbua
Saupha mohamed
Duuu awajajitambua
Zeiyana
Hiyo inaitwa kazi na dawa
Rehema
Duuuh majanga
Sabrina
Duuh hatari amejisahau sn
Gabriel
Adhabu itolewe tuya kinidhamu
Rose kapinga
Mmmh!! Wameshindwa kuvumilia!¡
Tumaini kasalile
Asante Kwa taarifa
Janeflora malisa
Oooh hekma muhim
Latifa juma mohamed
Hakika ujana maji ya Moto wameshindwa kufuata kanuni na sheria kwa muda mchache , hakika adhabu wanastahiki kupewa.
Dorophina
Adhabu itolewe iwe fundisho
Elika
Adhabu ndo kila kitu
Sauda
Inabidi waadhibiwe
Magdalena
Sheria zimewekwa ili zifatwe
Ernest
Tunasema kazi na Dala safiii tuuu
Fatuma kasomo
Tatizo wanajisahau
rama
safii wastahili hadhabu sheria lazima kuzingatiwa
Nasra
Mambo yashakuwa mazito
Neema
Sheria ifuate mkondo wake
Shani
Ni shida kwa wachezaji hawa
Mwanahamisi
Sheria ifuate mkondo wake
Fatina mfigi
Mambo yashakuw mambo
Samiah
Tatizo wanajisahau
Isaya massawe
Vijana wanajisahau
farida ahmadi
Sheria ifatwe
David Pere
Hakika ujana maji ya Moto wameshindwa kufuata kanuni na sheria kwa muda mchache , hakika adhabu wanastahiki kupe