Mahrez na Laporte Wakutwa na Corona.

Riyad Mahrez na Aymeric Laporte wote wamepima na kukutwa na virusi vya Corona klabu ya Manchester City yathibitisha.

Klabu hiyo ya Premier League imesema kwamba wawili hao wameambukizwa COVID-19 ingawa hawakuonesha dalili, na hivi karibuni walijitenga kama utaratibu unavyotaka.

Msimu mpya wa Premier League unatarajiwa kuanza siku ya Jumamosi, Septemba 12 ingawa ratiba ya City mchezo wa kwanza utakuwa dhidi ya wolves Setemba 21, siku 14 baada ya ligi kuanza

Klabu ilitoa maelezo yaliyosomeka: “Manchester City imethibitisha kwamba Riyad Mahrez na Aymeric Laporte wamekutwa na COVID-19 baada ya kufanyiwa vipimo.

“Kila mtu anawatakia heri wapone haraka na kurejea mazoezini na kujiandaa na ligi msimu mpya.

Kuwekuwa na ongezeko la visa vya maambukizi ya Corona katika nyanja ya michezo ulimwenguni kote wiki za hivi karibuni.

Mabingwa wa Ligue 1 Paris Saint-Germain ambao wanatarajia kuanza kucheza mashindano ya ndani siku ya Alahamisi wameripoti visa sita vya maambukizi kati ya wachezaji wao katika kikosi.

Mchezo wa kwanza wa Ligue 1 ulihairishwa mwezi uliopita baada ya Marseille kuthibitisha kuna wachezaji wawili ndani ya kikosi wamepata Corona.

Paul Pogba, Houssem Aouar na Steve Mandanda wameshindwa kujiunga na timu ya Ufaransa katika michuano ya Nations League baada ya kuambukizwa Corona.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

41 Komentara

    Du!!!! Hatariii

    Jibu

    Duuh poleni sana ndugu zetu mtapona lakini msijali

    Jibu

    daaaa hatari sana hiii tahadhari muhimu sana kwa wachezaji kipindi hiki cha corona

    Jibu

    polen sana hii corona cjui itaisha lin maana kila siku majanga#meridkanbettz

    Jibu

    Hii inaipa wakati mgumu Man city wakati msimu unakaribia kuanza#meridianbettz

    Jibu

    Polen wapendwa

    Jibu

    Majanga hay Corona ligi inatak ianze

    Jibu

    Corona cyo poa

    Jibu

    Corona noma

    Jibu

    Bado kuna ali ngumu sana kuwepuka ugonjwa umekua too much

    Jibu

    Corona inatisha

    Jibu

    Duuh corona bado inatikisa dunia

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana

    Jibu

    Poleni sana,inabid kua makini sana ugonjwa hatari sana,mfate maelezo ya kuhusu covid-19

    Jibu

    Polen man city

    Jibu

    Jmn poln sna

    Jibu

    Very sad story ,inawap wakati mgumu kwa club ya mancity kwa msimu ambao unakaribia kuanza kutokana na majembe yao kupatwa na covid19.

    Jibu

    Naona Mambo yameanza kuwa magumu mwisho wa siku mipira itafungiwa

    Jibu

    Hili gonjwa hatar sana

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Duu pole yao Corona sio poa

    Jibu

    Mambo yashaanza kuwa magumu huu ugonjwa Ni balaa

    Jibu

    Balaa hili la corona

    Jibu

    Habari mbaya sana kwa wapenzi wa City na wasoka duniani, Tunawatakia wapone haraka

    Jibu

    Duh habari mbaya

    Jibu

    Coronaa imekuwa tishio kwetu

    Jibu

    Da! Inasikitisha

    Jibu

    Korona inatisha

    Jibu

    pole yake

    Jibu

    Korona imeathiri sekta ya michezo san

    Jibu

    ni shida

    Jibu

    Duuh poleni sana

    Jibu

    Corona ipo tusichukulie Poaw

    Jibu

    Colona sio poa

    Jibu

    Pole snaa

    Jibu

    Duuh mpoleni sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Corona Sio poa

    Jibu

    Corona bado nishida ulaya

    Jibu

    Du nouma Sana

    Jibu

    Hii inaipa wakati mgumu Man city wakati msimu unakaribia kuanza

    Jibu

Acha ujumbe