Lionel Messi ameonekana akitua katika viwanja vya mazoezi vya Barcelona baada ya kutoka kufanya tangazo la Jezi ya tatu katika mitandao ya kijamii ikiwa ni kujiandaa na msimu mpya.
Nyota huyo wa Argentina alithibitisha siku ya Ijumaa kuendelea kusalia Camp Nou baada ya kuwatingisha Barca kuwa anataka kusepa na kutafuta changamoto mpya.

Messi alikuwa akiamini kwamba vifungu katika mkataba wake vinamruhusu kuondoka kama mchezaji huru lakini kwa pamoja Barca na LaLiga walikataa madai hayo na kusema yoyote atakaye taka kumsajili Messi lazima alipe kiasi cha €700m ilikukamilisha uhamisho wa nyota huyo.
Mshindi mara sita wa tuzo ya Ballon d’Or alimtuhumu rais wa klabu ya Barcelona Josep Maria Bartomeu kuwa aliwahi kusema Messi atakuwa huru kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu 2019-20 kama akitaka.

Lakini kwa sasa Messi atakuwa ni sehemu ya kikosi cha mwalimu Koeman na ameonekana akitokea kwa mara ya kwanza mazoezini baada ya kutoonekana wakati wa kufanya vipimo vya Corona wiki iliyopita.
Kipande cha video kilimuonesha Messi akitua Ciutat Esportiva Joan Gamper kwaajili ya mazoezi.
Siku hiyo hiyo ya Jumatatu mapema Barca walitweet picha ya Messi akiwa amevalia jezi ya rangi ya Pink ikiwa ni utambulisho wa jezi ya tatu ya Barcelona kwa msimu 2020-21.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Hope mwaikuka
Si uende tu babu
Sabrina
Kazi nzuri messi
Gabriel
nyumban ni nyumban Messi ajaiba arud tu Barcelona 👍
Amiri Kayera
Well done mess
Rehema
Asante kwa taarifa
Rose kapinga
Messi nyota yako inangaaa!!!
Tumaini kasalile
Habari njema kwa mafans Wa Barcelona
Janeflora malisa
Good
Latifa juma mohamed
Messi alikuwa akiamini kwamba vifungu katika mkataba wake vinamruhusu kuondoka kama mchezaji huru lakini kwa pamoja Barca na LaLiga walikataa madai hayo na kusema yoyote atakaye taka kumsajili Messi lazima alipe kiasi cha €700m ilikukamilisha uhamisho wa nyota huyo,, Hali hii ndio imebakk ctofahm kwa club nying kushindwa kumsahili kutokan na dau kuwa kubwa.
Dorophina
Messi hapo ndio nyumbani hawezi kuondoka kirahic
Zeiyana
Me naona messi yupo Barcelona kwasababu ya mkataba wake haurusu kuondoka clabuni hapo moyo wake ushaama kabic Barcelona subiri tuone mwisho wake
felister
messi anavyooneka hana msimamo
Magdalena
Safi sana messi
Sauda
Kaza buti Messi
Elika
Safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa wana krabu ya Barcelona Kurejea kwake Messi kuja kupiga Kaz mpamba naji
Tatu
Mess kweli alikuwa anawatingisha barcelona bila mess club inayumba
Ernest
Sijui itakuaje Maisha ya Messi ndani ya Barca japo mwenyewe anasema anafuraha kuendelea kusalia ndani ya Barca
Theckla
Kia la kheri
Fatuma kasomo
Safar njema
Furahav
Jambo zuri.
rama
Messi atabaki barcelona tu
Nasra
Messi abaki
Salma ngende
Kila laheri
Neema
Safii sana Messi
Shani
Mess karibu nyumbani
aisha
Messi mtu mbaya namkubali sana
Issa
Messi ameach rekodi kubwa barcelona hivyo ni ngumu kuikacha
jullie
Akapige zoez sasa ajipange
Saupha mohamed
Jambo zurii
Tahiya
Messi alijua kuuza magazet na habari zake za kutaka kuondoka
Mwanahamisi
Kaza buti messi
Fatina
Mmh messi nae anatuchangany
Mwajumah
Mmh Messi hana msimamo yan#Meridianbettz
Rehema
Akaze buti
Theonestina
Safiii
Samiah
Safi
Isaya massawe
Alikua anatikisa kiberiti
David Pere
Messi alikuwa akiamini kwamba vifungu katika mkataba wake vinamruhusu kuondoka kama mchezaji huru lakini kwa pamoja Barca na LaLiga walikataa madai hayo na kusema yoyote atakaye taka kumsajili Messi lazima alipe kiasi cha €700m ilikukamilisha uhamisho wa nyota huyo.
warda
Anapiga tu pesa