Aleksandar Kolarov Atimba Milan

Beki wa Roma, Aleksandar Kolarov tayari ameingia Milan kwa ajili ya vipimo ili kukamilisha uhamisho wake kutoka Roma kuja Inter.

Nyota huyu ambaye ni raia wa Serbia, amefika Italia akirejea kutoka kuitumikia timu yake ya taifa. Kwa mujibu wa ripoti, Aleksandar Kolarov anaandaliwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja na Inter ikiwa atafuzu vipimo vya afya.

Katika dili hili, nyota huyu atakuwa na nafasi ya kusaini tena makubaliano ya kuongeza mwaka mmoja zaidi na atakuwa ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Antonio Conte kwa msimu huu.

Wakati huo, klabu ya Inter pia inatajwa kuwa inasubiri Barcelona kumalizana na Arturo Vidal katika mazungumzo ya kuvunja mkataba pale Camp Nou.

Taarifa zinasema kuwa klabu ya Inter inamuandalia Arturo Vidal  mkataba wa miaka miwili, ikiwa atamalizana na Barcelona na kupeana taraka katika mkataba wa sasa.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

35 Komentara

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    milan mmepata fundi

    Jibu

    Ngoj tuone deal hlo kutakuwah done

    Jibu

    Watakuwa wamepata jembe

    Jibu

    Yuko vizur kolarov atakua sehemu kubwa ya msaada kwenye kikosi cha Milan kwa uzoefu wake aliokua nao na uwezo.

    Jibu

    Milan wapo Moto kushusha vifaa vyauwakika

    Jibu

    Millan mmepata jembe#Meridianbettz

    Jibu

    ngoja tuone makali yake

    Jibu

    Milan wamepata mtu wanaomtaja

    Jibu

    Karibu milan

    Jibu

    Kolarov ni safi kukipiga milan

    Jibu

    Hongera sana.

    Jibu

    Watakuwa wamepata jembe

    Jibu

    Hongera sana millan mmepata jembee

    Jibu

    Aleksandar Kolarov namukumbuka kwa utumishi wake Man City kwa takribani miaka 7#meridianbettz

    Jibu

    Watakuwa wamepata jembe#meridianbettz

    Jibu

    Usajir mzur

    Jibu

    Usajili safi

    Jibu

    Inter wanajipanga hipasavyo zidi ya wapinzani wao

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Karibu milan

    Jibu

    nyota huyu atakuwa na nafasi ya kusaini tena makubaliano ya kuongeza mwaka mmoja zaidi na atakuwa ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Antonio Conte kwa msimu huu

    Jibu

    Njoo utuonyeshe maajabu!!!

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Milan watakuwa wamepata mchezaji mzuri sana atawasaidia

    Jibu

    Milan wamepata Fundi

    Jibu

    Aleksandar Kolarov atawasaidia Milan

    Jibu

    Wamepata mtu mzuri

    Jibu

    Fundi kapatikana

    Jibu

    Wamepata mtu makinii sana

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Safi kujiunga na milan

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Jembe

    Jibu

    Yuko vizur kolarov atakua sehemu kubwa ya msaada kwenye kikosi cha Milan kwa uzoefu wake aliokua nao na uwezo.

    Jibu

Acha ujumbe