Klabu ya Tottenham ipo katika hatua ya juu ya mazungumzo na kocha wa zamani wa Roma, Paulo Fonseca kumtangaza kama kocha mpya wa klabu hiyo.

Taarifa kutoka Sky Italty zinasema Fonseca anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 3 lakini hakuna makubaliano katoka hilo kwa pande zote mbili.

 

fonseca, Fonseca Kuchukua Nafasi ya Mourinho Spurs., Meridianbet

Aliyekuwa mkurugenzi wa usajili wa Juventus, Fabio Paratici amehusika katika dili hilo huku akitarajiwa kutangazwa na Tottenham kama Mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo.

Spurs pia walijaribu kumrudisha Mauricio Pochettino katika viunga vya London kutoka PSG lakini dili hilo halikufanikiwa.

Morinho amechukua nafasi ya Paulo Fonseca Roma, wakati huo akitangazwa na Tottenham makocha hao watakua wamebadilishana nafasi zao katika vilabu hivyo.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa