Cristiano Ronaldo Baada ya kutangazwa kuachwa na klabu ya Manchester United, habari nyingi zillibuka kuwa Mshambuliaji huyo wa Ureno anahusishwa kuhitajika na miamba ya Ujerumani Bayern Munich.

Sasa ni kwamba, Aliyekuwa CEO wa Bayern Munich Oliver Kahn ameweka wazi uvumi wa habari hizo kuhusu klabu yake kumhitaji Ronaldo ambaye kwa sasa ni mchezaji huru, amesema kuwa Bayern haitamsajili Cristiano.
Bayern will not sign Cristiano Ronaldo, Oliver Kahn announces: “I can rule out a move for Ronaldo. We’ve considered it, we all love Ronaldo but strategy is different”, tells Sky @Plettigoal. 🚨🔴 #FCBayern
“We’ve a clear idea, philosophy of how our squad should be put together”. pic.twitter.com/HIoNnoCkIi
— Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) November 29, 2022
“Bayern Haitamsajili Cristiano Ronaldo, Naweza kuondoa uwezekano wa kumnunua Ronaldo. Tumezingatia, sote tunampenda Ronaldo lakini mkakati wetu ni tofauti. Tuna falsafa safi namipango mizuri ya jinsi timu yetu inapaswa kuwa”.

Beti mechi zijazo za kombe la dunia na nyingine kupitia Meridianbet, beti na kitochi bila bando, kwenye machaguo spesho ya kombe la dunia yenye ODDS kubwa na bomba, na kama sio mpenzi wa mpira kuna michezo ya kasino mtandaoni napo unaweza kushinda jakipoti kubwa. Beti hapa.
Klabu ya Manchester United ilitangaza kuachana na mchezaji huoy, kwa makubaliano ya pande zote mbili, hii inatokana na mahojiano aliyoyafanya wiki moja kabla ya michuano ya kombe la dunia kuanza, ambapo alieleza kuwa United ilimsaliti.
Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.


