Klabu ya Liverpool imepanga kumalizana na usajiri wa winga anayekipiga kwenye klabu Fc Porto Luis Diaz mapema kabla dirisha la usajiri kufungwa siku ya jumatatu.

Diaz ambaye amekuwa akiichezea klabu ya Fc Porto tangu mwaka 2019 leo asubuhi alionekana akisaini mkataba na klabu Liverpool, huku akiwa ameshikilia jersey ya miamba hiyo ya Merseyside na akiwa amevaa jersey ambayo wanaitumia kwenye mazoezi.

Liverpool

Tottenham awali ilipeleka offa ya kutaka huduma ya winga huyo, ambapo Porto walikuwa tayari kumuuza kwa kiasi cha £66million kama kipengele cha kuweza kumuachia mkorombia huyo.

Maelezo ya mkataba kati ya majogoo na Diaz hayajawekwa wazi bado, lakini mchezaji huyo wa kimataifa kutokea Corombia anatarajia kusaini mkataba wa miaka mitano na Liverpool.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa