Pengine asingekua mchezaji wa kwanza kuondoka Man United na kujiunga na Man City, Carlos Tevez alifanya hivyo. Paul Pogba aikacha Manchester City.

Wikiendi zilisambaa taarifa za City kutaka kumsajili Pogba mwishoni mwa msimu huu akiwa kama mchezaji huru. Paul anamaliza mkataba wake wa miaka 5 na United na, atakua huru kujiunga na timu yeyote baada ya msimu huu kumalizika.

Pogba, Pogba Aikacha Man City Mchana Kweupe, Meridianbet

Ripoti hizi zilimtaja Paul kama mbadala wa Fernandinho kule Etihad. 2016, Pogba aliweka hadharani heshima aliyonayo  kwa Pep Guardiola kama miongoni mwa makocha wakubwa barani Ulaya. Pep pia aliwahi kuweka wazi matamanio yake ya kutaka kufanya kazi na kiuongo huyo mwaka 2018 japo hilo halikuwahi kufanikiwa.

Taarifa zinasema kuwa, wawakilishi wa Pogba wameitaarifu Manchester City kuwa, mchezaji huyo hanampango wa kwenda Etihad na badala yake, atakwenda kujiunga na timu nyingine ila sio kwa Pep.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa