Leo hii siku ya Jumatano, Ligi kuu ya NBC Tanzania itaendelea kwa mechi moja ambapo wenyeji Fountain Gate watakipiga dhidi ya Namungo FC ambao wapo nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi.

Fountain Gate wao mpaka sasa wapo nafasi ya 12 wakiwa na pointi zao 11 huku mchezo huu ukiwa wa muhimu kwao kushinda siku ya leo halikadhalika kwa mgeni pia.
Tofauti yao hadi sasa ni pointi 7 pekee huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA kabisa hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ubashiri hapa.
Fountain Gate mechi yao ya ligi iliyopita, walitoa suluhu, huku Namungo wao kwenye mechi zao 4 wameshinda zote hivyo endapo wakishinda na mchezo huu utakuwa ni wa tano kwao.
Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.


