Genk Yamsajili Kelvin John Rasmi.

 

Mshambuliaji chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, amejiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta, alikuwa akiichezea kabla ya kujiunga na Aston Villa ya nchini Uingereza.

Kelvin ambaye pia anaichezea timu ya vijana chini ya miaka 20 ya Ngorongoro Heroes ya Tanzania, ni miongoni mwa vijana mwenye kipaji kikubwa kwani Mwaka jana aliorodheshwa na jarida la The The Guardian la nchini Uingereza kuwa miongoni mwa wachezaji wa kizazi kijacho.

Genk imethibitisha kumsajili mchezaji huyo kwa ushauri wa Samatta ambaye amekuwa rafiki yake wa karibu.


USHINDI BILA MIPAKA!

Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.
Arsenal, Arsenal Wawasilisha Ofa ya Pili Joaquin Correa., Meridianbet

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.