Kocha wa Simba SC, Didier Gomes amesema klabu hiyo imefikia malengo yake katika mchezo wa jana dhidi ya KMC baada ya kuwafunga 2-0 katika uwanja wa Mpaka, Dar es Salaam.

Gomes amewapongeza wachezaji wake baada ya kuanza mchezo huo kwa kiwango cha juu baada ya kupoteza mechi iliyopita dhidi ya watani wao Yanga SC katika mechi iliyopita.
“Tumefanikiwa kutetea ubingwa, nafikiri kuwapumzisha baadhi ya wachezaji ambao wametumika zaidi na kuwapa nafasi wengine. Ligi ilikuwa ndefu na mechi zilikuwa karibu karibu na pia tunajiandaa na fainali ya FA.
“Simba ni familia kuna wachezaji wananivutia sana mazoezini lakini kutokana na ukubwa wa kikosi wamekosa nafasi, Miraji Athumani, Said Ndemla ni miongoni mwao wanafanya vizuri na nafurahi kufanya nao kazi,”
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!

