Haaland Kuvunja Rekodi ya Shearer

Mwandishi na mwanahabari wa soka Paul McCarthy anaamini kuwa mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland atavunja rekodi ya ufungaji mabao ya Alan Shearer katika Premier League.

 

Haaland Kuvunja Rekodi ya Shearer

Haaland, 22, ameanza vizuri nchini Uingereza, akifunga mara 11 katika mechi zake saba za kwanza za ligi ambapo kasi ya nyota huyo wa zamani wa Borussia Dortmund kuzoea ligi kuu ya Uingereza imewafanya wengi kuamini kuwa rekodi ya Shearer ya kufunga mabao 260 inaweza kuwa machoni mwa Mnorwei huyo wakati akiwa na The Citizens.

Mwanahabri huyo, McCarthy aliiambia LiveScore pekee: “Nilipenda kumtazama Alan Shearer. Niliona kila mechi yake ya kwanza.

“Niliona mechi yake ya kwanza akiwa na Southampton alipofunga hat-trick dhidi ya Arsenal, mechi yake ya kwanza akiwa na Blackburn alipofunga mara mbili, mechi yake ya kwanza Newcastle na moja la England alipofunga mara mbili dhidi ya Ufaransa”.

 

Haaland Kuvunja Rekodi ya Shearer

Angependa kusema kuwa Haaland atapata mabao 40 msimu huu na pengine msimu ujao na msimu ujao na  ametoa kitabu chake cha kwanza, Fever Pitch: The Rise of the Premier League, ambacho ni muendelezo wa vipindi vya TV vya BBC vilivyoangazia kuzaliwa kwa ligi kuu ya Uingereza na nyakati zake za kipekee.

Mwanahabari huyo wa zamani wa News of the World na Express ameshangazwa na ufufuo wa City tangu kubadilishwa kwa umiliki wao mwaka wa 2008 na alikiri kumkamata kwao Haaland kunaweza kuwa muhimu zaidi katika historia ya Ligi Kuu.

McCarthy ametoa kitabu chake cha kwanza, Fever Pitch: The Rise of the Premier League, ambacho ni muendelezo wa vipindi vya TV vya BBC vilivyoangazia kuzaliwa kwa ligi kuu ya Uingereza na nyakati zake za thamani.

Mwanahabari huyo wa zamani wa News of the World na Express ameshangazwa na ufufuo wa City tangu kubadilishwa kwa umiliki wao mwaka wa 2008 na alikiri kukamata kwao Haaland muhimu kuwa muhimu zaidi katika historia ya Ligi Kuu.

 

Haaland Kuvunja Rekodi ya Shearer

Mwandishi huyo alisema wakati ambao kitabu kimeandikwa, Manchester City hata hawakusajili. Sasa wanashangaza tu.

Mabingwa hao watetezi wa Primia Ligi Jumapili hii  wanawakaribisha wapinzani wao Manchester United  katika Dabi ya Jiji la Manchester ambapo mpaka sasa vijana wa Eric Ten matumaini yao ya kuwania nafasi nne za juu yakiwa matatani.

 

Haaland Kuvunja Rekodi ya Shearer

Huku kukiwa na  matumaini kuwa mambo yanaweza kubadilika chini ya kocha huyo Mholanzi huku United kwa sasa ikifurahia ushindi wa mechi nne mfululizo kwenye Primia Ligi.

Kuna ishara ndogo sana. Lakini ni kama kujaribu kugeuza meli ya mafuta, na ninadhani kuwa Ten Hag ameanza kubadilisha mambo klabuni hapo na MacCathy anaona dalili ndogo sana lakini bado wapo nyuma ya vijana wa Pep Guardiola kwa miaka ya hivi karibuni na nyuma ya Liverpool pia.

 

Haaland Kuvunja Rekodi ya Shearer

 

Acha ujumbe