Promota nguli wa masumbwi dunia Eddie Hearn ameonya WBO kwamba pambano la masumbwi kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury ni zaidi ya mkanda wa Ubingwa.
“Pambano kati ya Anthony na Tyson fury itakuwa pambano litakalo badili taswira ya ndondi katika kutambua ukubwa wa mchezo”, alisema promota Hearn
Niliongea [Raisi wa WBO, Paco Valcarcel] na kumwambia:’Upo katika mchezo mgumu, labda baada ya wiki mbili zijazo nitakuandikia ujumbe na kukwambia tumefanya moja kati ya pambano kubwa katika historia ya ndondi.”
“Sasa ni wakati muhimu kwa suala la mikanda na siasa kwa sababu hatuwezi kumudu kuzuiliwa na sheria na mahitaji ya bodi zinazosimamia,” alisema.
“Kwa mfano lazima [bingwa wa uzani wa kati wa IBF] Josh Warrington sasa ni Kid Galahad. Tayari walikuwa na vita nzuri na Warrington sasa anataka [mabingwa wengine katika uzito wake] Gary Russell Jr, Emanuel Navarrete, Can Xu.
“IBF inafanya kuwa ngumu kwake kuwa na vita kubwa. Lakini mapigano makubwa ndio tunahitaji katika ndondi!” aliongeza Eddie Hearn.
MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5
Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!
Magdalena
Hawa watu ni Moto wa kuotea mbali
Hopemwaikuka
Can’t wait for this
Caroline
Hili pambano litakua kubwa
Flomena
Litakuwa pambano kubwa sana
Sania
Mtanange mzito huo
Ernest Kimeru
Ngoja tusubiri
Khadija
pambano c la kitoto
Sarah
Pambano languvu
Rahmal
Mtanange wa kibabe
Dorophina
Mpambano sio wa kuukosa kabisa
Asia Abdy
Mafundiii
Samira
Bonge la pambano
lombo
saf
Angelina
Nice update
Sadick
Ndondi umekuwa mchezo wa kusisimua sana unaovuta mamilioni ya watu kuangalia kwenye skrini zao
Issa
Fury atakalishwa tu
warda
safi sana