Hitimana : Tutatumia Mapumziko Kutengeneza Kikosi.

 

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Hitimana Thierry amesema tutatumia mapumziko ya wiki mbili ya kupisha mechi za Kimataifa kuendelea kuimarisha kikosi chetu ili kurejesha makali yetu.

Hitimana amesema kikosi hicho kinapitia kipindi kigumu na wachezaji wanacheza kwa presha kutokana na matokeo mabaya tuliyopata mechi zetu za nyuma lakini kipindi hiki cha mapumziko watajitahidi kuwaweka sawa wachezaji.

Hitimana ameongeza kuwa timu inacheza vizuri inatengeneza nafasi lakini inashindwa kuzitumia kutokana na wachezaji kuwa na presha hivyo kila kitu kitakaa sawa baada ya ligi kurejea.

“Ligi inasimama na tutakuwa na mapumziko ya wiki mbili, tutaitumia kuendelea kukiweka sawa kikosi kabla ya kurejea. Tuna idadi kubwa ya wachezaji majeruhi wengine watakuwa wamerejea kabla ya ligi.

“Tunajua tuna idadi kubwa ya wachezaji ambao wataenda kwenye timu zao za taifa lakini watakaobaki tutakuwa nao mazoezini ili kuendelea kuwaweka sawa tuna imani tutarudi katika ubora wetu,” amesema Hitimana.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.