Isco na Fumbo la Chelsea au Arsenal.


 

Mchezaji Isco yupo katika listi ya kocha Mikel Arteta kutua Emirates katika dirisha la mwezi january lakini ameonyesha mapenzi kwa wapinzani wao Chelsea.

Mikel Arteta anahitaji kufanya mabadiliko baada ya mwanzo mbaya na kuondolewa kwa Mesut ozil katika kikosi cha kwanza na kumsajili Isco kunaweza kuwa suluhisho.

 

Msimu uliopita Isco aliulizwa kuhusu kujiunga na Ligi ya EPL na uwanja gani angependa kucheza alijibu kifupi “Stamford Bridge.”

Mchezaji huyo hajawahi kukutana na Chelsea wala Arsenal katika maisha yake ya mpira akiwa na Real Madrid, kucheza kwa mkopo Arsenal kunaweza kumfanya acheze uwanjani Stamford Bridge wakati timu hizo zitakapo kutana tena May 12.

 


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

19 Komentara

    Asante kwa taarifa meridian bert

    Jibu

    Ukiangalia upepo kama Chelsea watamuhitaji basi lazima atajiunga na Chelsea

    Jibu

    Aende chelsea

    Jibu

    Aende sehemu anataka

    Jibu

    Aende tu popote anapopatakq

    Jibu

    Ngoja tuone mvutano huu isco ataenda wap

    Jibu

    Abaki hapo hapo

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Aende tu popote anapopatakq

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Mamuzi yake

    Jibu

    maamuzi ni yake

    Jibu

    Maamuzi yake kwenda popote anapotaka

    Jibu

    Chaguo ni lake

    Jibu

    Aangalie penye faida na yeye

    Jibu

    Yy tu

    Jibu

    Isco atue chelsea

    Jibu

    Kazi kwake kujilipua

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.