Mchezaji kinda wa Barcelona, Junior Firpo ameikosoa timu yake vikali baada ya hapo jana kulazimishwa sare ya 1-1 na Eibar uwanjani Camp Nou.
Katika mechi hiyo kapteni Lionel Messi alishuhudia mechi hiyo akiwa benchi kutokana na jeraha la kifundo cha mguu huku timu yake ikiambulia alama moja katika uwanja wa nyumbani.

Martin Braithwaite alikosa penati wakati Barcelona wakiwa wamepiga mashuti 16, huku 5 pekee yakiwa yamelenga lango.
“Tunahitaji nafasi 1000 kufunga goli,” alisema beki wa Barcelona Junior
“Wao [Eibar] wamepata nafasi moja na wamefunga.”
“Imekuwa ni mwendelezo wa msimu, mechi zimekuwa ngumu na tunahitaji kujituma.” aliongeza Junior.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



warda
jamani pole yake
Fatina mfingi
Duuuuh
Chiku
Kazi ipo
Mwanahamisi
Pole yake
Sarah
Pole yake
Rahmal
Pole yke
Caroline
Kazi wanayo
Hopemwaikuka
Hata Kama sio kihiivyo lakin
Angelina
Pole yao barcelona
Saupha mohamed
Pole yao
Dorophina
Barca sijui wamekumbwa na nn
Shakila mrope
Kazi wanayo
David Pere
Imekuwa ni mwendelezo wa msimu, mechi zimekuwa ngumu na tunahitaji kujituma.” aliongeza Junior.
Khadija
pole yake
Zahara omary
Pole yake
Lydia Emmanuel Magoti
Duu wajitaidi hapo wapate hizo nafasi
Sania
Barcelona wana kazi ngumu
Adelta
Barcelona wanakibarua kikali
Sabrina
Duuh kazi kwao barca
Tatu
Pole yao