Arteta - Mpango wa Usajili Hautabadilika.


 

Ukiachana na matokeo mazuri waliyoyapata katika mechi mbili zilizopita, Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta anasema bado malengo yake hayata badilika katika dirisha la usajili.

Ubora waliouonyesha vijana kama Bukayo Saka na matokeo yaliyopatikana katika mechi mbili zilizopita hazitabadili chochote.

 

Arsenal hawakupata ushindi katika mechi saba wakiwa katika nafasi ya 15 katika jedwali wakati wa Christmas lakini kutoka hapo wamefanikiwa kumfunga Chelsea na Brighton and Hove Albion.

Ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton, kwa bao lililofungwa na Alexander Lacazette sekunde 29 akitokea benchi hapo jana uliwapa alama tatu za muhimu.

Hapana, matokeo ya mechi hizi mbili hayabadili mipango yetu kuelekea dirisha la usajili.” alijibu Arteta alipoulizwa kama matokeo hayo yanamaana yoyote kuelekea dirisha la usajili la mwezi januari.

 


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

20 Komentara

    Arteta nae anaanza kutamba

    Jibu

    Mwaka wa Arteta huu

    Jibu

    Tunangoja tuone

    Jibu

    Tunasubili tuone

    Jibu

    Arteta mwaka wao

    Jibu

    Yetu macho tunasubilia tuone

    Jibu

    Pole Arteta

    Jibu

    Jishaue tu

    Jibu

    Arsenal msimu huu wako vizuri sana

    Jibu

    Arsenal jeahi

    Jibu

    Tunasubilia arteta tuone maneno yake

    Jibu

    Mhh mwacheni atambe wakati ni wake

    Jibu

    Arsenal hawakupata ushindi katika mechi saba wakiwa katika nafasi ya 15 katika jedwali wakati wa Christmas lakini kutoka hapo wamefanikiwa kumfunga Chelsea na Brighton and Hove Albion

    Jibu

    Arteta nae mwaka wake huu

    Jibu

    Arteta msimu huu ukovizur

    Jibu

    Yangu macho ngoja tuone

    Jibu

    Ngoja tuone matokeo

    Jibu

    Haya ngoja tusubiri tuone

    Jibu

    Arteta anamipango ya kuiweka arsenal vizur

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.