Maddison Arefusha Mkataba Leicester.


Kiungo James Maddison wa Leicester City ametia saini mkataba mpya ambao kwa sasa utamshuhudia akipokezwa mshahara wa Sh13 bilioni mwishoni kwa wiki hadi mwaka wa 2025.

Kufaulu kwa mpango huo ni pigo kubwa kwa Manchester United waliotarajiwa kumshawishi nyota huyo mzawa wa Uingereza kujiunga nao mwishoni mwa msimu huu.

 

Maddison Arefusha Mkataba Leicester.
 

Maddison hakuwa sehemu ya kikosi cha Leicester kilichovaana Manchester United katika mechi ya mwisho ya kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu kutokana na jeraha la paja.

Malipo hayo yanamfanya kuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshaara mrefu zaidi  uwanjani King Power.

Mshambuliaji Jamie Vardy aliyeibuka mfungaji bora wa EPL msimu huu wa 2019-20 ndiye anayelipwa mshahara wa juu zaidi klabuni Leicester City. Mchezaji huyo mzawa wa Uingereza hutia mfukoni kima cha Sh16.8 bilioni kwa wiki.

 

Maddison Arefusha Mkataba Leicester.

Maddison, 23, alisajiliwa rasmi na Leicester mnamo 2018 baada ya kuagana na Norwich City kwa kima cha Sh3 bilioni. Wakati huo, alitia saini mkataba wa miaka mitano.

Chini ya mkufunzi wa zamani wa Liverpool na Celtic, Brendan Rodgers, Leicester wanatazamiwa kufungua rasmi uwanja wao mpya viungani mwa mji wa Seagrave kabla ya kivumbi cha msimu ujao kung’oa nanga.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

43 Komentara

    Habari njema sana kwa mashabiki Leicester

    Jibu

    Leicester city wamefanya Jambo jema kumchukua kiungo uyo

    Jibu

    Kafanya maamuzii sahihii kabisa

    Jibu

    Wako sahihi leicester

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Inadhirisha Leicester inathamini mchango wake. Niliamini James Maddison msimu huu atasajiriwa na timu kubwa zaidi kutokana na mafanikio aliyoipatia Leicester City#meridianbettz

    Jibu

    ni maamuz mazur

    Jibu

    Leicester mmefanya jambo la maana sana

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Wako sahihi

    Jibu

    Pongezi kwake#Meridianbettz

    Jibu

    Madson anastahili kuongezwa mkataba maana anafanya vizuri sana

    Jibu

    Uko vizuri madson.

    Jibu

    hongera madson

    Jibu

    Leicester wapo sahihi kwa kweli

    Jibu

    pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    sie tunasubiri burudani

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera sana kwa kuendelea kusalia Leicester

    Jibu

    saf

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Binafsi nilitegemea Maddison ataenda kwenye club kubwa zaidi lakini sio mbaya kusalia Leicester

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Uwezekan kuondok ni mdg zaid

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Safi tu

    Jibu

    Wapo vzr leicester

    Jibu

    asante meridian mko vizuri kwa taarifa

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

    hongera maddison cheza mpira mzuri

    Jibu

    Hongera yake#Meridianbettz

    Jibu

    Amekubalika uyo ana kiwango

    Jibu

    Ni jambo zuri sana kwa wana Leicester city.

    Jibu

    Jambo zur kuendelea kubaki na kuipa nguvu kwa msimu mpya Leicester city

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Leicester city

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hongra kwao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.