JOHANNESBURG – Mamelodi Sundowns ilishinda SuperSport United 3-1 huko Loftus Versfeld jana Jumatano na kutawazwa Mabingwa wa Ligi ya PSL.
Sundowns imeshinda taji la 2020/2021 ikiwa wamebakiza michezo mitatu ya ziada. Ni taji la nne mfululizo kwa klabu huku timu hiyo ina rekodi ya kutwaa taji la 11 la PSL.
Mamelodi watakabidhiwa taji hilo mnamo Juni 6 2021 katika kilele cha msimu wa ndani. “Hongera nyota wetu kwa kazi ambayo wameweka kupata majina yao, tunakutakia kila la kheri.” – iliandika tovuti ya timu hiyo.
Ligi Kuu ya Soka (PSL) imetangaza walioteuliwa kwa tuzo za kumaliza msimu, na wachezaji kadhaa wa Masandawana na makocha majina yao kwenye tuzo hizo.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Wamefanya vizuri wanastahili pongezi
Wakiingia kazin hamna wasichokijua wako kikaz sana
Hongera yao