Nyota wa tenisi, Naomi Osaka hatarajii kusikiliza maswali ya aina yeyote kutoka kwa vyombo vya habari katika michuano ya French Open.

Osaka anasisitiza kuwa asili ya mikutano na vyombo vya habari inavyoathiri saikolojia ya wachezaji.

Bingwa huyu wa mara nne wa Grand Slam anadhani kuwa watu wanakosa kufikiria kuhusu hali za kisaikolojia za wachezaji baada ya mechi, hivyo kwake hatafanya mkutano na waandishi kwa sababu hiyo.

Naomi Osaka

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Naomi Osaka ameandika kwa upana wake mtazamo wake juu ya kufanya mkutano na vyombo vya habari na aina za maswalo ambayo amekuwa akiulizwa mara kwa mara.

Michuano ya French Open inafanyika Jumapili hii kule Paris, na kwa mujibu wa Osaka alichokifanya sio kwa sababu zake binafsi tu, bali anaona ni jambo jema kwa kuzingatia maslahi mapana ya wachezaji, na ameweka wazi kuwa ana uhusiano mzuri na waandishi wa habari, ambao wamekuwa wakimuuliza maswali tangia alipokuwa mtoto.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa