Klabu ya Manchester United imetangaza kuachana na kiungo wake Paul Pogba baada ya mkataba wake kuisha mwezi huu.

Pogba amedumu united kwa miaka 5 tangu aliporejea klabuni hapo kwa mara ya pili akitokea Juventus ya Italia kwa dau lililoweka rekodi ya klabu hiyo katika majira hayo ya kiangazi.

 

manchester united, Manchester United Yathibitisha Pogba Kuondoka., Meridianbet

“Klabu inatangaza Paul Pogba ataondoka Manchester United mwishoni mwa mwezi June, baada ya mkataba wake kukamilika.

“Kila mtu ndani ya klabu anampongeza Paul kwa kazi yake yenye mafankio, na tunamshukuru kwa mchango wake ndani ya Manchester United.

“Tunamtakia kila la kheri kwenye hatua nyingine ya kuvutia katika safari yake.” ilisomeka taarifa hiyo katika tovuti ya United.

 


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa