Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah anaweza kuondoka klabuni hapo huku ikielezwa kuwa anataka kubaki Ligi ya England kama hatakubaliana mkataba mpya.

Mkataba wa Salah unaisha 2023, anaelezwa kuwa na furaha katika kikosi cha Jurgen Klopp ila mustakabali wake kukaa baada ya msimu ujao haujafahamika.

 

salah, Salah na Vita ya Mkataba na Liverpool., Meridianbet

Mshambuliaji huyo wa Misri amekuwa kwenye mazungumzo na Liverpool kwa zaidi ya miezi 12 kuhusu kuongeza mkataba na inadaiwa hakujakuwa na mazungumzo ya ana kwa ana kwa zaidi ya miezi 6.

Inadaiwa kumekuwa na pengo kubwa kati ya kile Salah anachotaka na kile klabu ipo tayari kutoa na kwamba anatazamia kuwa mchezaji wa sita anayelipwa vizuri zaidi duniani.

 


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa