Klabu ya Marseille wanafikiria kutoa ofa kwa mshambuliaji wa Morocco Youssef En-Nesyri huku wakitafuta kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya kampeni ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao.

Marseille inakaribia kukata tiketi yake ya kufuzu Ligi ya Mabingwa na inataka kujenga kikosi chenye uwezo wa kupambana katika mashindano hayo msimu ujao.

 

marseille, Marseille Yaikomalia Sevilla kwa En-Nesyri., Meridianbet

Marseille wanajua kwamba wanapaswa kuwashinda West Ham United, Arsenal, Newcastle United na timu kadhaa za Serie A za Italia ikiwa ni pamoja na AS Roma kuweza kupata saini ya mshambuliaji huyo.

West Ham United walitoa ofa ya takriban euro milioni 25 majira ya kiangazi iliyokataliwa na klabu hiyo. Hata hivyo, amekuwa akiandamwa na majeraha mengi msimu huu na amefunga mara tatu pekee.

Mshambuliaji huyo wa Sevilla tayari amehusishwa na vilabu vingi barani Ulaya, baada ya msimu mzuri wa 2020/21, ambapo alifunga mabao 18 kwenye La Liga.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa