Mchezaji tenisi wa Uingereza, Andy Murray ameonyesha kiwango bora na kutinga hatua ya nusu fainali ya BOSS Open, mjini Stuttgart baada ya kumfunga Tsitsipas hapo jana.

Mchezji nambari moja wa zamani wa dunia ambaye anashikilia nafasi ya 68 kwa sasa amepata ushindi mkubwa wa kwanza tangu alipofanyiwa upasuaji mwaka 2019.

 


Murray alimshinda mchezaji wa ugiriki, Stefanos Tsitsipas kwa seti 7-6 (7-4) 6-3 katika pambano lililodumu kwa saa moja na dakika arobani nchini Ujerumani.

Murray ameshinda asilimia 82% ya alama 7 za kwanza, 65% alama 7 za pili ambazo ameshinda tangu mwaka 2016 ambapo alimfunga Novak Djokovic katika fainali y aATP na kushika namba moja duniani.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa