Rafael Nadal ameshinda taji lake la 14 la French Open na kuongeza rekodi ya 22 ya Grand Slam baada ya kumshinda Casper Ruud katika fainali Jumapili huko Roland Garros.

Mhispania huyo mwenye umri wa miaka 36 alionyesha uzoefu wake wa miaka yote kwa kusambaratisha Mnorwe 6-3 6-3 6-0 kwenye Court Philippe Chatrier.

 

nadal, Nadal Atwaa Ubingwa wa French Open., Meridianbet

Nadal, ambaye amepoteza mara tatu pekee akiwa Roland Garros tangu aanze kucheza mwaka 2005, ni siku mbili zimepita siku yake ya kuzaliwa ya miaka 36 na anasumbuliwa na tatizo la mguu ambalo limezua tetesi za kustaafu.

Lakini alimtupilia mbali Ruud aliyeshika nafasi ya nane na kumpeleka nafasi mbili mbele ya wapinzani wake Novak Djokovic na Roger Feder.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa