Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar amerejea mazoezini Jumatatu hii ikiwa ni kuongeza nguvu kwa maandalizi ya Ligue 1 kwa pambano la Trophée des Champions na Marseille.
Neymar anasemekana Kuwa katika hati hati ya kucheza dhidi ya Marseille.

Mbrazil huyo bado hajaonekana chini ya Mauricio Pochettino, baada ya kupata jeraha la kifundo cha mguu mnamo Mwezi Desemba.
Kulingana na Le Parisien, mshambuliaji huyo wa zamani wa Barcelona ni “50-50” kukabiliana na Marseille katika mchezo wa Jumatano [Leo] huko Lens.
Neymar amecheza mechi 7 tu za Ligue 1 msimu huu, akifunga mara tatu na kutoa asisti tatu.
Uchezaji wake mzuri zaidi umekuwa kwenye Ligi ya Mabingwa, ambapo mabao sita katika michezo mitano yalisaidia PSG kushinda Kundi H ngumu mbele ya RB Leipzig na Manchester United.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Caroline
Pole Sana neymar.karibu uwanjani
Dorophina
Hbr njema kwa mashabiki wa psg
Rahmal
Neymari kalibu sana
Neema juma
Waoo hii ni habarii njemaa
Shakila mrope
Pole san neymar
Sania
Karibu sana Neymar
Sadick
Bila shaka kurejea kwake kunaongeza ari kwa timu na meneja kuwa na machaguo mengi ya wachezaji
Magdalena
Bora neymar kurudi
Saupha mohamed
Karibu neynar
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri
Hopemwaikuka
Mungu ni mwema
Sarah
Karibu neynar
warda
Safi sana