Phil Jones Anawinda na Timu 13.

Licha ya kuwa nje ya uwanja kwenye kikosi cha kwanza cha Man United kwa muda mrefu, Phil Jones anahusishwa na vilabu 13 vinavyohitaji huduma yake.

Jones anatakribani miaka miwili hajaingia kwenye kikosi cha kwanza cha The Red Devils kutokana na kupata majeraha. Kwa sasa amerejea mazoezini na amecheza michezo kadhaa ya U23 kama sehemu ya kurejesha kiwango chake.

Vilabu kadhaa vimekuwa vikimtaka Phil Jones toka majira ya kiangazi lakini Ole Gunnar Solskjaer amekua akizuia usajili wake akiamini kuwa, Jones anaweza kuwa na msaada ndani ya kikosi chake.

Miongoni mwa vilabu 13, Watford na Newcastle United wanatajwa kuisaka saini ya Jones kwa mkataba wa mkopo. Timu zingine zinazoiwania sahihi ya Jones zinatoka Championship ikiwemo Derby County inayonolewa na Wayne Rooney.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe