Kwa mujibu wa taarifa za awali, Klabu za Premier League zimekubaliana tarehe ya kurejea dimbani kuwa Juni 17.
Kwa mujibuwa wa Telegraph, baada ya kikao cha mwisho kati ya Vilabu vya Premier League leo, hatimaye timu zimekubaliana kurejea.
Mechi za awali zinazotarajiwa kuanza, kwa mujibu wa ripoti ni kati ya; Manchester United akiwa mwenyeji wa Arsenal na Sheffield United akiwa anaumana na Aston Villa, hizi ni mechi zinatotarajiwa kuchezwa tarehe 17 ambazo awali ziliahirishwa kwa sababu ya Carabao Cup kabla ya Likizo ya Corona.
Chris Wilderalishawahi kutaja kuwa alikuwa na matazamio kuwa mechi za Manchester United vs Arsenal na Shieffield vs Aston Villa zitaanza kuchezwa pale ligi inaporejea.
Tarehe kamili za mechi zote na ratiba bado hazijaamuliwa. Kwa mwenendo huu baadi ya timu za EPL zitalazimika kuendelea kucheza hadi mwezi Agosti kwa sababu Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Europa inatarajiwa kumalizika pale michuano ya ndani ya nchi itakapomalizika.
Taarifa zinataja kuwa msimu mpya wa unatarajiwa kuanza katikati ya mwezi Septemba.


mwakalosi
hiyo picha mliyotumia imenivutia sana degea soon tunakuona katika unora wako langoni
Hamidu
EPL is back! … Tumpe Liverpool ubingwa wake, huku man utd naona kabisa yupo ndani ya big 4 #meridianbettz
Amani
Man u top four lazima #meridianbettz
Mwanaidi
Safi sana asanten meridian kwa taarifa
Gabriel
Habar njema kwa ligi pendwa duniani premier league
Rehema
Woo! Ni habari nzur sana
Ester jackson
Waooo habari nzuri hizi
Adelta
Ni habari njema
Tatu
Asante kwa taarifa
Neema juma
Hilo ndo neno tulokuwa tunalisubiria kwa hamu sana
Shafii
Habari njema tunaisubili kwa hamu Sanaa
felister
waoooh habari njema
Genia Sikaluzwe
Mambo mazuri kwa mashabiki wa mpira
Lydia Emmanuel Magoti
Mambomazuri kwa washabiki wa mpira iko poa
Hope mwaikuka
Iko njema
Theckla
EPL mpango mzima
Antony Luseno
Good news kwa wapenzi wa EPL
dorophina
Ni habari njema sana kwa wadau wa mikeka
Lombo
full uhondo mambo bam bam
Ester mmakasa
Afadhari jamani maana tulikuwa tunapitwa na vitu vizuri.
aisha
duuh siamini burudani kali kiliko zote inarudi
mathayo sonje
haya kumekucha na EPL tumesubiri sana, msitupige danadana tena kwa kusogeza tarehe mbele, manchesta mko vizuriiii???????
Magdalena
EPL zirudi tuanze kula mapesa maana n long time sana
Zeiyana
Kandanda lishaanza..!mida ya kubeti
Frank Patrick
League bora kabisa Duniani inarudi na mbwembwe zake
Neema hassan
Vizuri sana#meridianbettz
Caroline
Wawe makini
Kenani
Safi kabisa
Warda
Lazima wakubali wee pesa tamu bwana #Meridianbettz
Juliana
Bora ilejee tumpe Liverpool kombe lake
Ernest
Ngoja tuone kama Liver ataendeleza ubabe wake adi mwishoooo!!!
Asha
Habari nzuri
Asia Abdy
Tunasubir kwa hamu
Sadick
Hamu yangu kumuona Christian Pullisic akifanya vitu vyake ndani ya Stamford Bridge#meridianbettz
Povel
Waoooo ni habar njema kwa wazeee wa mikeka na wapenda kandanda
Emmy cleopa
Habari nzuri