Paris St-Germain (PSG) walilazimishwa kusubiri taji lao la nane la Ufaransa katika kipindi cha miaka 10 baada ya wapinzani wao wa karibu Marseille kushinda 3-2 dhidi ya Nantes.

Pointi moja kwa PSG katika mchezo wao wa nyumbani dhidi ya Lens walio nafasi ya saba Jumamosi itawafanya warejeshe taji hilo bila kujali Marseille watafanya nini dhidi ya Reims.

 

psg, PSG Alama 1 Yasalia Kutwaa Ubingwa Ufaransa., Meridianbet

Kikosi cha PSG chini ya Mauricio Pochettino kiko pointi 15 mbele ya Marseille huku pande zote zikiwa zimesalia na mechi tano kuchezwa.

Mshambuliji wa Brazil Neymar atarejea kwenye mchezo wa Lens baada ya kutumikia marufuku ya mechi moja kwa kujikusanyia kadi tano za njano.

Mshambuliaji wa Argentina Messi, ambaye ana uvimbe wa Achilles, atapimwa tena, pamoja na kiungo wa kati wa Italia Marco Verratti (goti) na beki wa kati wa Ufaransa Presnel Kimpembe (goti) baada ya wawili hao kukosa mchezo dhidi ya Angers.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa