Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka PSG kufuatia kufikia makubaliano ya kuvunjwa kwa mkataba wake baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18.

Kocha huyo raia wa Argentina ameshinda Taji la Ligi 1 lakini aliishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita, matokeo ambayo inadaiwa yamechangia kuondolewa kwake klabuni hapo.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Mauricio Pochettino

Baada ya mkurugenzi wa michezo Leonardo kutimuliwa na Luis Campos kuchukua nafasi yake ndani ya PSG, Pochettino amefwata kama tetesi zilivyoenea tangu awali.

Makocha wanaopewa nafasi ya kubeba mikoba kubeba mikoba yake pale PSG ni Zinedine Zidane, koch awa roma, Jose Mourinho na Christophe Galtier anae kinoa kikosi cha Nice.

Taarifa inatarajiwa kutolewa hivi karibuni kuhusu makubaliano hayo.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa