Mchezaji wa Mixed Martial Arts, Conor McGregor anatarajiwa kurejea ulingoni hivi karibuni baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu miezi kadhaa iliyopita.

Conor McGregor ambaye ameanza mazoezi ambayo yameonekana katika mitandao yake ya kijamii huku akitumia vyema mguu wake wa kushoto aliofanyiwa upasuaji.

 

mcgregor, McGregor Arejea Mazoezini Baada ya Majeraha., Meridianbet

McGregor alivunjika mguu wa kushoto(The tibia and fibula) katika pambano dhidi ya Dustin Poirier ambalo alipoteza kwa K.O baada ya kushindwa kuendelea na pambano hilo.

Mchezaji huyo wa Ireland anatarajiwa kurejea ulingoni kwaajili ya mechi za ushindani mwaka 2023 huku pambano lake la mwisho la Fight in the Cage akishinda dhidi ya Donald Cerrone ndani ya sekunde 40.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa