Baada ya ya kufunga alama 43 katika mchezo bora aliouonyesha katika Fainali ya NBA 2022 Game 4, mchezaji wa Golden State Warriors, Stephen Curry anatajwa kama mchezaji anaeweza kutwaa tuzo ya MVP.

Curry hajawahi kushinda Tuzo ya NBA Final MVP, na anatajwa kama kinara mkuu kutwaa tuzo hiyo hata kama timu yake ya Warriors watapoteza katika fainali hizi.

 

curry, Curry Apigiwa Upatu Kutwaa Tuzo ya MVP., Meridianbet

Mchezaji pekee kuwez kutwaa tuzo ya NBA Final MVP licha ya kupoteza katika fainali hizo alikuwa ni mchezaji wa Los Angeles Lakers, Jerry West mwaka 1969.

Tangu kipindi hicho mchezaji= ambaye alikaribia kutwaa tuzo ya MVP timu yake ikiwa imepoteza ni LeBron James wakati Cleveland Cavaliers ilipopoteza dhidi ya Dubs mwaka 2015.

NBA wametoa listi ya wachezaji wanaochuana kuwania tuzo ya NBA Final MVP:

1. Steph Curry – Golden State Warriors
2. Jaylen Brown – Boston Celtic
3. Jayson Tatum – Boston Celtic
4. Klay Thompson – Golden State Warriors
5. Andrew Wiggins – Golden State Warriors


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa