Mcheza Tenisi kinda wa Uingereza, Emma Raducanu anatazamiwa kuvaana na Tereza Martincova katika mchezo wa kikombe cha Billie Jean King Cup nchini Uingereza.

 

raducanu, Raducanu Kuvaana na Martincova Billie Jean King Cup., Meridianbet

Timu ya Uingereza itavaana na timu ya Jamuhuri ya Czech katika michezo ya kufuzu katika uwanja wa Tenisi wa I.CLTK Prague uliofanyikia fainali za mwaka 1986.

Timu inajumuisha Raducanu, Harriet Dart, Katie Swam na Sonay Kartal. Washindi wa michezo ya kufuzu ya Billie Jean Cup watacheza Fainali za Billie Jean King Cup mwezi November wakati waliopoteza watacheza Play-Offs za kufuzu mwaka 2023.

Mchezaji bora namba 12 duniani, Emma R. wamechaguliwa na mshindi namba mbili kwa ubora Uingereza, Harriet Dart kucheza michezo ya ufunguzi leo hii. Dart atafungua dhidi ya Vondrousova, wakati Raducanu akifungua na Martincova.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa