Kinda wa Tenisi wa Uingereza, Emma Raducanu leo [Jumatano] anatarajia kupambana na mchezaji wa Belarus, Aliaksandra Sasnovich katika raundi ya 2 ya michuano ya French Open.
Raducanu amesema kucheza katika uwanja wa Roland Garros unampa msisimuko ambao aliupata aliposhinda taji lake la US Open na yuko tayari kwaajili ya mchezo huo.
Baada ya kuondolewa katika michuano ya Italian Open kutokana na matatizo ya mgongo mapema mwezi huu, Raducanu amesisitiza yuko sawa kupambana kutwaa ubingwa wa French Open.
Mzunguko wa Emma Kuelekea Fainali.
Raundi 2 : Sasnovich
Raundi 3 : Kerber
Raundi 4 : Kvitova
Robo Fainali : Sakkari
Nusu Fainali : Azarenka/Gauff
Fainali : Swiatek
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.