Raiola : Solskjaer Chanzo Kiwango Kibovu cha Pogba.

 

Wakala wa Paul Pogba, Mino Raiola amemshutumu Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer kuwa amekuwa chanzo cha kiwango kibovu kwa mteja wake msimu huu.

 

Pogba alianza msimu kwa kasi kwa kufanya usaidizi wa mabao saba katika mechi nne za mwanzoni mwa msimu huu wa EPL 2021/22, lakini hali imekuwa tofauti hasa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa hana kiwango bora kama hapo awali.

Raiola anayasema hayo ikiwa mezani kwake kuna mkataba mpya kutoka United tangu mwezi Julai, mwaka huu ili kuongeza muda wa Pogba kusalia Old Trafford.

Taarifa mbalimbali zinaarifu Pogba amemtaarifu Raiola anafikiria kurejea Italia katika jiji la Turin kujiunga na wababe wa Serie A, Juventus ambako alicheza kwa miaka 4 kabla ya kurejea Man united.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe