Meneja wa klabu ya Watford, Claudio Ranieri ameweka wazi na kufadhaishwa kwake na jinsi Arsenal walifunga goli lao katika mchezo wa ligi kuu ya EPL siku ya jana.

Ranieri amesema goli lililofungwa halikuwa na kiuana michezo na timu yake iliondoa mpira katika mchezo ili kupisha huduma kwa mchezaji Ozan Tufan.
“Tuliweka mpira pembeni na tulitarajia Arsenal wataturudishia mpira.” Kocha wa Watford aliwaambia waandishi wa habari baada ya mchezo.
“Sissoko na Rose walisema: “tupeni mpira, tukatoa mpira nje, kulikuwa na mchezaji ameumia’. Baada ya hili kilitokea kitu cha kushangaza.
“Mahusiano yetu [Ranieri na Arteta] ni mzuri sana, Nilimwambia hakuna heshima tunapoweka mpira nje. Nilisema hakuna heshima katika hatua hii, hii tu.”
Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?


