Mabao mawili ya kipindi cha pili kutoka kwa Sergio Ramos na Luka Modric yanaipa alama tatu Real Madrid katika El Clasico ya Kwanza ya Msimu huu wa Laliga.
[Fati ⚽ – Valverde ⚽, Ramos ⚽, Modric ⚽]
Real wanazidi kukwea kileleni kwa pointi 13 hivi Sasa baada ya mechi Sita baada ya kupoteza mchezo dhidi ya cadiz wikiendi iliyopita.

Barcelona anashika nafasi ya 12 akiwa na alama 7 na mchezo mmoja mkononi. Mwanzo mbaya wa Koeman unakuja baada ya timu hiyo kusafisha kikosi hicho kwa kuondoa baadhi ya wachezaji wakongwe.
Barcelona imeshinda mechi moja tu kati ya mechi sita za mwisho za El Clasico katika LaLiga wakiwa Nou Camp.
Barcelona 1-2 Madrid
Barcelona 1-1 Madrid
Barcelona 2-2 Madrid
Barcelona 5-1 Madrid
Barcelona 0-0 Madrid
Barcelona 1-3 Madrid
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


Khadija
Real wapo vzr sana
Elika
Safi sana real kwa ubabe huo
zeiyana
Real madrid bado wanaendelea kuonesha ubabe wao zidi ya vibonde wao barcelona
Adelta
Vizuri sana
Mwanahamisi
Real madrid wapo vizuria
Mwajumah
Safi sana
Carolyn
Good news
Hopemwaikuka
Real wametishaa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana
Tatu
Madrid wapo vizuri
Sauda
Safi sana Real
Povel
Credit kwao Madrid walikuwah kwny ubora wa hali ya juu sana
Fatuma kasomo
Safi
Issa
Madrid baba lao
Saupha mohamed
Safi sana
aisha
Madrid wakali wao
Sabrina
Inapendeza sana
Janeflora malisa
Wapo vzr kwa kwel
Neema
Madrid ni noma
warda
Hapa Ndo kusalimika kwa Zidane
Angelina
Safi
Latifa juma mohamed
Safi sana Madrid ubora wenu tunauona.
Tahiya
Big up
David Pere
Real wanazidi kukwea kileleni kwa pointi 13 hivi Sasa baada ya mechi Sita baada ya kupoteza mchezo dhidi ya cadiz wikiendi iliyopita.