Rudiger na Hatma Yake Ndani ya Chelsea.


 

Beki wa Ujerumani, Antonio Rudiger Imeripotiwa kuwa hawezi kuruhusiwa kuondoka Chelsea majira haya ya baridi endapo fikayo Tomori ataondoka kwa mkopo.

Hatma ya Rudiger kuondoka Kwa mkopo au jumla inategemea na klabu hiyo kama itamuondoa Tomori ambaye anatajwa kuondoka kwa mkopo.

 

Tayari vilabu vya Ujerumani na Italia (As Roma) vimetajwa kumuhitaji Rudiger majira haya ya baridi. Kwasasa mchezaji huyo anakosa nafasi ya kudumu chini ya Lampard huku mwalimu huyo akiwatamuia zaidi Thiago Silva na Kourt Zouma.

Taarifa kutoka nchini Uingereza zimethibitisha taarifa hizo huku vyanzo vya karibu na mchezaji huyo vinasema beki huyo angependa kuichezea klabu hiyo ya London.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

14 Komentara

    Kwanini wanamuzuia wangemuacha afanye maamuzi yake

    Jibu

    Rudiger chelsea panakutosha

    Jibu

    Tayari vilabu vya Ujerumani na Italia (As Roma) vimetajwa kumuhitaji Rudiger majira haya ya baridi. Kwasasa mchezaji huyo anakosa nafasi ya kudumu chini ya Lampard huku mwalimu huyo akiwatamuia zaidi Thiago Silva na Kourt Zouma.

    Jibu

    Bora abaki chelsea

    Jibu

    abakie zake tu chelsea

    Jibu

    Abaki tuuu

    Jibu

    Uamuz wake

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Rudiger hana chake tena Chelsea

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Abaki chelsea

    Jibu

    Rodger chelsea hana nafasi tena

    Jibu

    Abaki tu jaman

    Jibu

    safi

    Jibu

Acha ujumbe