Rweyemamu Aiburuza Simba SC Mahakamani.


Aliyewahi kuwa Meneja wa Simba SC, Patrick Rweyemamu, anaripotiwa kuishitaki timu hiyo mahakamani.

Akizungumza na SA Jumamosi hii, mwanasheria wake John Feka amekiri kuwepo kwa madai hayo ambayo yapo kwenye mahakama ya usuluhishi.

Amesema kuwa, jana mahakamani viongozi hao wa Simba waliomba kufikia muafaka wa sakata hilo kwa kukaa pamoja kufikia muafaka mzuri ili kulimaliza hilo.

 

Kweli kesi ipo mahakama ya usuluhishi na kikubwa ipo kesi ya madai ya fedha ambazo ni siri.

Kesi nyingine ya tuhuma ambazo amepewa mteja wangu zilitaka kumchafua kutokana na tuhuma alizopewa” amesema wakili huyo.

Rweyemamu aliondolewa Simba mwaka jana baada ya timu hiyo kupata matokeo mabaya mfululizo inaripotiwa anataka kusafishwa na kulipwa fedha ambazo anaidai timu hiyo ili wamalizane vizuri.


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

14 Komentara

    Pole Sana simba

    Jibu

    Duh simba kazi

    Jibu

    Simba mnafeli wapi?

    Jibu

    Pole sana Simba msijal mambo yataenda vinzur

    Jibu

    Simba kazi kazi

    Jibu

    Simba ipo juuu naitakuwa sawa tuuu akuna ubishi

    Jibu

    Uyu nae anataka kuichafulia Simba baada ya kuona inafanya vizuri ajikaze

    Jibu

    Poleni simba

    Jibu

    Pole sana simba

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Ni vizuri bora waongee yaishe

    Jibu

    Dar polen sana

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Huyu nae geza geza

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.