Beki Samuel Umtiti wa Barcelona, 26, ameugua ugonjwa wa Covid-19.
Nyota huyo mzawa wa Ufaransa hajawahi kuwajibishwa katika mchuano wowote tangu Julai 2020 baada ya kupata jeraha la goti.
Kwa mujibu wa Barcelona, Umtiti ambaye anahusishwa pakubwa na uwezekano wa kutua Arsenal muhula huu, hakuonyesha dalili zozote za kuwa na virusi vya corona alipofanyiwa vipimo vya afya.

“Klabu imewataarifu maafisa wa afya na vinara husika kambini mwa Barcelona kuhusiana na tukio hilo na kwa sasa watu wote waliotangamana na Umtiti wanatafutwa ili kudhibiti msambao zaidi wa virusi hivyo,” ikasema sehemu ya taarifa ya miamba hao wa soka ya Uhispania.
Kabla ya kushuka dimbani kuvaana na Bayern Munich kwenye robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) mnamo Agosti 14, 2020, Barcelona walikuwa wameripoti kwamba mwanasoka mmoja kambini mwao alikuwa na virusi vya corona.

Ingawa jina la mchezaji huyo lilibanwa wakati huo, sasa Barcelona wamefichua kwamba mchezaji huyo ni beki Jean-Clair Todibo, 20.
Chipukizi huyo alikuwa miongoni mwa wachezaji tisa wa Barcelona waliokuwa wakirejea kambini kujiandaa kwa mapambano ya msimu ujao wa 2020-21.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Caroline
Mungu amponye
Sauda
Pole sana Samuel
rama
Maoni:atakuwa sawa tu nakuludi kwenye kiwango chake kama awali
felister
mwenyezi atakufanyia wepesi
Zeiyana
Janga la corrona sijui ni lini litaondoka maana linatia wasi wasi kwa wana michezo ulimwenguni.
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole Sana mungu atamponya Samuel Umtiti
Mwajumah
Pole sana samuel
Ernest
Ugua pole Umtiti, have a quick recover
Sadick
Hii ni habari mbaya kambini mwa Barcelona ambayo Ijumaa imetoka kupokea kipigo cha historia mbele ya Bayern#meridianbettz
Ester jackson
Pole kijana kwa ugonjwa huo na maumivu ya kufungwa na Bayern
Sabrina
Get well soon sam
aisha
Pole sana samweli umtiti kuugua ibada hivyo basi mshukuru sana mungu ila utapona
Njiku
Ugua pole mwamba wa ufaransa umtiti
Ester mmakasa
Pole kwa Samuel mungu amfanyie wepesi.
Nasra
Corona inazidi kujenga tahamaki kubwa kwa Wana michezo.
Dorophina
Pole Samuel utakaa sawa soon
Saupha mohamed
Pole sana samuel
Fatina mfingi
Duuh pole
Mwanahamisi
Mungu amfanyie wepesi
Samiah
Mungu afanye wepesi
julie
pole yake
Shafii
Hii corona sasa inaharibu kabisa radha ya mpira.
Issa
Pole yake umtiti covid ni shida sana
Furahav
Pole sana.
Janeflora malisa
Pole yak
Devotha
Pole sana umtiti utapona na utarejea mchezoni msimu ujao
Hope mwaikuka
Sorry for him
Povel
Get well soon 🙏🏼🙏🏼
Leonard
Pole
David Pere
corona sasa inaharibu kabisa radha ya mpira.
Latifa juma mohamed
Get well soon umtiti.
farida ahmadi
Pole Sana umtiti
warda
Hii Corona Jamani sio poa#Meridianbettz
magdalena
pole kwake atapona atakuwa vizuri
Neema
Pole yakeee
Shan
Covid 19 inaleta tahamaki kubwa sana kwa wana michezo.
Khadija
pole yake mungu atamsaidia atapona haraka#meridianbettz
Gabriel
Habar ya kusikitisha sana mwenyez MUNGU amsaidie alone
Salma ngende
Pole yake
Genia Sikaluzwe
Pole yake
Theonestina
Pole yake
Chiku
Samweli tangawiz limao na nyungu utakaa poa na kila kitu kitaendelea