MATOKEO YA SOKA YA JANA JUMAMOSI YA TAR 15/08/2020.
🎯Champions League – Quarter-Finals
FT Manchester City 1 – 3 Lyon
🎯Netherlands – Eredivisie Comeback
FT PSV Eindhoven 1 – 1 Vitesse

🎯Belgium – Jupiler League
FT Genk 1 – 1 Oud-Heverlee
FT Gent 1 – 2 Kortrijk
FT Sporting Charleroi 1 – 0 Oostende
🎯Scotland – Premiership
FT Hamilton Academical 0 – 1 St. Mirren
FT Kilmarnock 1 – 2 St. Johnstone
FT Ross County 1 – 2 Dundee United
FT Hibernian 0 – 0 Motherwell
🎯Egypt – Premier League
FT El Zamalek 1 – 0 Misr El-Maqasa
🎯South Africa – Premier League
FT AmaZulu FC 0 – 0 Baroka FC
FT Stellenbosch FC 1 – 0 Lamontville Golden Arrows
FT Polokwane City 2 – 3 Kaizer Chiefs
FT Orlando Pirates 0 – 0 Bidvest Wits

🎯Tunisia – Ligue I
FT CS Hammam-Lif 1 – 2 Ben Guerdane
FT Etoile du Sahel 1 – 1 Esperance
🎯Morocco – Botola Pro August 15
FT MAT Tetouan 1 – 2 Hassania Agadir
FT Olympic Club de Safi 1 – 0 Youssoufia Berrechid
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Ernest
Soon tutarajie kuona Video ya Pep akiwatandika makofi Sterling na Gabriel Jesus, Siku zote nimekuwa nikisema City hawana bahati wanaweza piga mpira mwingi lakini mwisho wa siku wanaambulia kipigo, Sterling na Gabriel still naona ni wachezaji ambao wanahitaji wakue zaidi kisoka kutokana na kutokuwa makini uwanjani wakati timu ikiwategema wao zaidi kama mashujaa
Lydia Emmanuel Magoti
Asanteen meridian kwa bari Nzuri mpovizuri kwa yaliyo jili
felister
ahsanteni kwa matokeo ila dah city kanichania mkeka wangu
Ester jackson
Asante kwa kutupa matokeo mana man city sasa ziiii
Sabrina
Daaah man city jana katoa boko
Sadick
Matokeo ya Man City kufungwa na Lyon hayajatarajiwa Dunia kote, huo ndio mpira#meridianbettz
aisha
Mimi nampa hongera lyon
Dorophina
Man city wametuangusha kinyama
Njiku
IPO poa hii safii asante kwa matokeo
Nasra
Haya matokeo ya mancity yame waacha watu midomo wazi haikuzaniwa kama itakua ivi mwisho wa yote ndo mchezo wa mpira hua inamatokeo ya ajabu.
Mwajumah
Asanteen kwa kutupa matokeo ila City wamejua kuharibu #Meridianbettz
rama
Maoni:jambo jema sana kwa wazee wakubet kutupatia urahisi wa kujua matokeo
Saupha Mohammad’s
Man city wameharib mnoo
Fatina mfingi
Man City wamezingua
Mwanahamisi
Man City wazinguaji kinoma
Zeiyana
Ligi msimu huu kumekua na mabadiliko makubwa sana..!tunategemea kuyaona mengi kwa kweli mashabiki wa Barcelona na man city pole nyingi ziwafikie
Samiah
Man wazinguaji kinoma
Caroline
Asante meridianbet Kwa taarifa
Tatu
Asante kwa kutujuza
Shafii
Matokeo ya man city yameishangaza ulimwengu maana watabili tulijua fainali itakua Kati ya man city na Bayern.
Issa
City jinamizi la barca liliwakuta jana
Furahav
Matokeo mazuri
Janeflora malisa
Mambo yalikuwa mazur
Devotha
Pongezi sana kwa timu zilizoshinda Ila man city umechana mikeka mingi sana
Hope mwaikuka
Man city wameyabananga
Povel
Gud update
Leonard
Safi
David Pere
Matokeo ya man city yameishangaza ulimwengu maana watabili tulijua fainali itakua Kati ya man city na Bayern Munich
Latifa juma mohamed
Matokeo mazuri lkn city waliweka ctofahamu kufungwa Lyon , hakika mpira mwamuzi sio refa ni dkk 90.
farida ahmadi
Asante kwa matokeo
warda
Iko poa hii#Meridianbettz
magdalena
city walijua kuwavunja mioyo watu ila kwa sisi ambao tulimuua city tumevuna matunda mazuri
Neema
Hayo ndomatokeo sahihii vzr
Khadija
man city kimyaaaaa#meridianbettz
Shan
Haya matokeo yamewaacha wadau wa mpira midomo wazi.
Gabriel
Mech zilikuwa kal na za ushindan mkubwa
Salma ngende
Matokeo mazuri