Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hapo kesho kwa mchezo mmoja ambapo Simba SC watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Mtibwa Sugar ambao wamepanda daraja msimu huu.

Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimbala KMC Complex huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Mnyama ambao anahitaji ushindi kwenye mechi hii.
Ikumbukwe kuwa klabu hiyo hadi sasa wana kocha mpya ambaye ni Steve Barker ambao mawemuamini kukinoa kikosi hicho na kukipata makombe mengi ikiwemo yale ya nje ya Tanzania.
Simba wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa wakiwa wameshinda 4 na kupoteza mechi moja hadi sasa huku wakifanikiwa kukusanya pointi 12 hadi sasa.
Kwa upande wa Mtibwa Sugar wao wapo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi, wakikusanya pointi 10 hadi sasa huku wao pia wakiwa na uhitaji wa kushinda mechi hiyo.


