Klabu ya Simba SC imeshindwa kuongeza presha ya kutetea taji la Ligi Kuu Bara baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 kwenye dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Azam FC ilianza kufunga kupitia kwa Rodgers Kola dakika ya 37, Simba iliyokuwa ugenini ilisawazisha goli kupitia kwa John Bocco dakika ya 44.

 

Simba SC, Simba SC, Azam FC Mzizima Dabi Hakuna Mbabe!, Meridianbet

Hivyo, Yanga SC inabaki kileleni katika ligi hiyo ikiwa na pointi 60 na kuwa katika mazingira mazuri ya kuipoka Simba ubingwa msimu huu.

Kwa matokeo ya mchezo huo uliokuwa wa kushambuliana pande zote, Simba SC imefikisha pointi 50 ikiwa nafasi ya pili, Azam FC imebaki nafasi ya tano ikiwa na pointi 33.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa