Tetesi zinasema, Paris St-Germain wako tayari kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Msenegal Sadio Mane, 30, huku kukiwa na ripoti kwamba amekwama katika mkataba wake mpya. Mkataba wa sasa unaisha Juni 2023.

Manchester City wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Leeds na England Kalvin Phillips, 26, kuchukua nafasi ya Mbrazili Fernandinho, 37, ambaye anaondoka mwishoni mwa msimu huu.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Meneja mpya wa Manchester United Erik ten Hag amemuongeza beki wa Argentina Lisandro Martinez, 24, kwenye orodha ya wachezaji anaowataka katika msimu huu.

Tetesi zinasema, PSG na Juventus zimeendelea kumuwinda kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 29, ambaye mkataba wake unaisha msimu huu.

Tetesi zinasema, Chelsea inataka kumsajili beki na nahodha wa AC Milan, Alessio Romagnoli, 27, msimu huu katika uhamisho wa bure mkataba wake utakapo kamilika.

 

Gabriel Jesus

Arsenal wanatarajia kuweka dau la pauni milioni 35 na mshambuliaji wa Manchester City Mbrazili Gabriel Jesus, 25, ambaye amepanga kuondoka kufuatia kuwasili kwa Erling Haaland.

Kiungo kati wa England Conor Gallagher, 22, na mshambuliaji wa Albania Armando Broja, 20, watarudi Chelsea wakati mikopo yao katika Crystal Palace na Southampton itakapomalizika mwishoni mwa msimu.

Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Aston Villa Mskochi John McGinn, 27, yuko katika orodha ya Tottenham ya wanchezaji wanaoweza kusajiliwa na klabu hiyo msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa